Home KITAIFA AHMED ALLY : DEJAN NAYE HAKUWA CHAGUA LA KOCHA MAKI

AHMED ALLY : DEJAN NAYE HAKUWA CHAGUA LA KOCHA MAKI

0

Semaji la Simba SC, Ahmed Ally amesema Mzungu wa Simba Dejan bado yupo sana kwenye kikosi chao hivyo wale wanaodhani ataondoke, wakae kwa kutulia.

Ahmed ameyasema hayo mapema jana Septemba 16, 2022 alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi TV ambapo alipoulizwa kuhusu suala la Dejan kama alikuwa chaguo la aliyekuwa Kocha Mkuu Zoran Maki na ameeondoka hivyo huwenda naye akaondoka ndipo akasema mchezaji huyo yupo sana.

“Kuweka sawasawa Dejan sio chaguo la Zoran. Kutocheza hizi mechi tatu ni mipango tu ya mwalimu nadhani anaendelea kumweka sana anaonekana, mzungu bado yupo sana. Ndiye mchezaji mwenye mkataba wa muda mrefu sana zaidi Simba,” alisema Zoran.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here