GWIJI wa Taifa Stars na mchambuzi wa Azam TV, Bwana Ally Mayay Tembele ameteuliwa kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini kwenye Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE