Home KITAIFA BREAKING: MABORESHO KWA WATUMIAJI WA APP YA ‘HABARI ZA MICHEZO – TETESI’

BREAKING: MABORESHO KWA WATUMIAJI WA APP YA ‘HABARI ZA MICHEZO – TETESI’

0

Habari, Kwanza SOKA LEO inapenda kuomba radhi kwa Watembeleaji, Mashabiki na wapenzi wa Michezo. Kwa hivi karibuni kumekuwa na tatizo la blog ya www.sokaleo.com kupotea hewani mara kwa mara na kusababisha wapenzi wa michezo kukosa haki yao ya msingi ya kuhabarika kimichezo, tunapenda kuomba radhi kwa tatizo hilo.

Na kwa sasa Blog ya SOKA LEO imerejea hewani na ipo katika hali nzuri ya kukufanya uzidi kuhabarika kimichezo.

Soka Leo inamiliki app mbili ambazo zote zinapatikana Playstore na tumefanya maboresho katika moja ya app zetu inayoitwa Habari za Michezo – Tetesi Ambapo matatizo ya kutotokea kwa picha katika baadhi ya post yametatuliwa kabisa na posts zote sasa hivi zinatokea na picha pia.

DOWNLOAD APP HERE

App hii yenye zaidi ya watumiaji 10K+ tumekuwa tukipokea maoni mengi juu ya kupunguza matangazo ambayo yanaonekana katika app, Habari njema ni kwamba katika maboresho haya tumepunguza kabisa matangazo katika app na sasa ina muonekano mzuri zaidi ya Version ya zamani.

Kwa watumiaji wa app ya SOKALEO hivi karibuni pia tutafanya maboresho katika App yetu hiyo pia yote ni kufanya wewe mtumiaji wa App pamoja na mtembeleaji wa blog ya sokaleo.com kuhabarika kumichezo zaidi.

Tufuatilie katika mitandao yetu ya kijamii Facebook, Instagram na Twitter kama @sokaleotz.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here