UONGOZI wa Coastal Union FC Umemtambulisha Yusuph Chippo kuwa Kocha mkuu wa Timu hiyo
Raia huyo wa Kenya aliyekuwa akikinoa kikosi cha Pamba FC amechukua nafasi hiyo baada ya Juma Mgunga kunyakuliwa na Simba SC
All The Best Coach.. Mimi ni shabiki mkubwa wa Falsafa yako👍
https://instagram.com/mcchikao





