Kupitia ukurasa wake wa Instagram mshambuliaji wa Simba Sc, Dejan Georgijevic amethibitisha kuvunja mkataba na klabu yake huku akitaja sababu kuwa ni masuala ya kimkataba
“Nathibitisha kuvunja mkataba na klabu yangu kwa kutotimiziwa matakwa ya kimkataba, Nawashukuru mashabiki kwa ushirikiano na upendo mlionionyesha.”
Dejan ambaye mpaka sasa akiwa amecheza michezo sita ndani ya Msimbazi hukua kiwa Amefunga goli moja pekee, ambapo klabu ya Simba bado haijasema lolote juu ya ujumbe huu wa Dejan.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE