Shirikisho la soka Barani Afrika (CAF) limeongeza kiasi cha pesa watakachopata watakaofanya vizuri kwenye mashindano ya Klabu Bingwa Afrika kuanzia msimu huu.
Bingwa wa kombe hilo atapata kitita cha dola za Kimarekani milioni 3.5 ambazo ni sawa na zaidi ya Tsh bilioni 8.16.
Awali bingwa alikuwa akipokea kitita cha dola za Kimarekani milioni 2.5 ambazo ni sawa na zaidi ya Tsh bilioni 5.8.
Mshindi wa pili / Runners-up ▪️USD milioni 1.75. ▪️Tsh bilioni 4.08.
Nusu fainali / Semi finalists ▪️USD milioni 1. ▪️Tsh bilioni 2.33.
Robo fainali / Quarter finalists ▪️USD laki 8. ▪️Tsh bilioni 1.86.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE