• About Us
  • Blog No.1 Kwa Habari za Michezo na Burudani
  • Contact Us
  • Privacy Policy
Saturday, December 9, 2023
SOKALEO
  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI LEO
  • TETESI ZA USAJILI
No Result
View All Result
SOKALEO
  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI LEO
  • TETESI ZA USAJILI
No Result
View All Result
SOKALEO
No Result
View All Result

IMEFICHUKAAA…HIVI NDIVYO DILI LA KUMSAJILI KISINDA LILIVYOITAFUNIA YANGA MAMILIONI YA PESA

Chikao by Chikao
September 5, 2022
in KITAIFA
0 0
Share on FacebookShare on WhatsappShare on Telegram

 

IMEFAHAMIKA kuwa Yanga imetumia kitita cha Sh 350Mil kumrejesha winga wake Mkongomani, Tuisila Kisinda kutokea RS Berkane ya Morocco ambapo alikuwa akicheza.

Yanga imempa mkataba wa miaka miwili winga huyo raia wa DR Congo kwa ajili ya kuitumikia timu hiyo katika msimu huu.

Kwa mujibu wa taarifa  kutoka kwa mmoja wa mabosi wa thiyo kiungo huyo amekubali kurejea kukipiga Yanga mara baada ya kumuwekea dau hilo la fedha lililomshawishi kusaini mkataba.

Bosi huyo alisema kuwa tofauti na dau hilo, kingine kilichomrudisha ni mapenzi aliyonayo kabla ya kuuzwa Berkane akiwa na timu hiyAliongeza kuwa Rais wa timu hiyo, Injinia Hersi Said naye amehusika kumshawishi winga huyo kurejea Yanga kutokana na ukaribu uliopo baina yao.

“Kisinda alikuwa na ofa nyingi mara baada ya baadhi ya klabu kubwa kumfuata kwa ajili ya kuzungumza naye na kumsajili.

“Kisinda alikataa ofa zote na kuchukua maamuzi ya kuja kuichezea Yanga kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja.

“Hersi alihusika kwa kiasi kikubwa kufanikisha usajili wake ambaye akiwa Berkane alikuwa akiwasiliana naye na kushauriana mambo mengi,” alisema bosi huyo.

Alipotafutwa Hersi kuzungumzia hilo alisema kuwa: “Usajili ni siri kati ya mchezaji na uongozi, hivyo ngumu kuweka wazi maslahi ya mchezaji na timu.”

THIS POST IS POSTED IN SOKA LEO AND APPEAR IN THIS APP
ShareSendShare
Previous Post

PAMOJA NA KUSAJILIWA AZAM FC MSIMU HUU…KIPA MFARANSA AINGIA TAMAA NA YANGA…AFUNGUKA A-Z ANAVYOITAKA …

Next Post

NABI APATA UKUTA MPYA YANGA…AMSUKA VILIVYO MAYELE NA AZIZ KI…SIMBA KUJAZWA MIHELA WAKITOBOA MALAWI…

Related Posts

ihefu
KITAIFA

MASHUJAA MAMBO SIO MAMBO, HUKU IHEFU NAO WAFUFUKA KIMASIHARA

December 8, 2023
Ahmed Ally
KITAIFA

AHMED ALLY: NGOMA IKIWA NGUMU TUPATE ALAMA MOJA TU

December 8, 2023
lomalisa
KITAIFA

MAJEMBE YATAKAYOCHUKUA NAFASI YA MWAMBA LOMALISA

December 8, 2023
Simba chama
KITAIFA

MTEGO WA CHAMA DHIDI YA WYDAD UMEKAA HIVI

December 7, 2023
Load More

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Here

No Result
View All Result
ihefu

MASHUJAA MAMBO SIO MAMBO, HUKU IHEFU NAO WAFUFUKA KIMASIHARA

December 8, 2023
Ahmed Ally

AHMED ALLY: NGOMA IKIWA NGUMU TUPATE ALAMA MOJA TU

December 8, 2023
Pogba

POGBA KUKABILIANA NA KIFUNGO CHA MIAKA 4

December 8, 2023
lomalisa

MAJEMBE YATAKAYOCHUKUA NAFASI YA MWAMBA LOMALISA

December 8, 2023
Anza siku yako kimichezo kwakupitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo tarehe 8 December 2023, Pitia vichwa vya habari na ujipatie nakala yako leo.

TUNAANZIA HAPA!, GAMONDI MZUKA,MATAJIRI WASHTUA – MWANASPOTI LEO

December 8, 2023
Simba chama

MTEGO WA CHAMA DHIDI YA WYDAD UMEKAA HIVI

December 7, 2023

Msimamo wa Ligi Kuu

SOKALEO

© 2023 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

  • Home
  • Privacy Policy
  • Contact Us
  • About Us

No Result
View All Result
  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI LEO
  • TETESI ZA USAJILI

© 2023 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In