Home KITAIFA KISA USHIRIKINA STAA DODOMA JIJI YAMKUTA YA KUMKUTA

KISA USHIRIKINA STAA DODOMA JIJI YAMKUTA YA KUMKUTA

0

Mchezaji wa timu ya Dodoma Jiji, Rajabu Habibu amefungiwa michezo mitatu (3) na kutozwa faini ya Sh. 500,000 (laki tano) kwa kosa la kufanya vitendo vinavyoashiria imani za kishirikina.

Taarifa ya Kamati ya Maadili ya TFF imeeleza kuwa wakati wa kupasha moto misuli, Rajabu Habibu alionekana akiwa ameshika kitu mkononi ambapo alienda nacho hadi kwenye goli kisha akalizunguka goli hilo mara kadhaa kabla hajakitupa chini na kukikanyaga kwa mguu.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here