Hatimaye kamati ya Sheria na Hadhi za wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) imepitisha usajili wa mchezaji wa Yanga, Tuisila Kisinda kuichezea klabu hiyo baada ya kufanikiwa kumuhamisha mchezaji Lazarous Kambole.
Kamati hiyo ilizuia usajili wa Kisinda licha ya kuwa umefanyika ndani ya dirisha la usajili kwa vile tayari Yanga ilikuwa na wachezaji 12 wa kigeni.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE