Katika kuhakikisha SOKA LEO inatoa huduma bora kwa wanamichezo na wapenzi wa michezo Tanzania, Tumefanya maboresho ya Application yetu inayopatina Play Store ambapo maboresho haya yameleta utatuzi wa baadhi ya matatizo yaliyokuwepo katika Version ya zamani ya Soka Leo App.
DOWNLOAD SOKA LEO APP
Moja kati ya maboresho ni katika upande wa Matangazo ambapo tumepokea maoni mengi toka kwa watumiaji wa Application waliosema app ipunguzwe mionekano ya Matangazo na jambo hilo tumelifanyia kazi katika Version hii mpya ya sasa, Pakua Hapa.
Version ya zamani haileti Posts katika Category zilizopo kwenye Application ambapo category zenyewe ni KITAIFA, KIMATAIFA, TETESI ZA USAJILI NA SIMUZILI katika Version hii ya sasa Category zote hizo zilizokuwa na matatizo zimefanyiwa kazi, kama picha inavyoonekana hapa chini.
Boresha yako yako sasa ya SOKA LEO ili uzidi kuhabarika kimichezo kupitia simu yako ya mkononi kila siku huku app ya soka leo iliyoboreshwa inaweza kutumila hata ukiwa huna bando unapata habari za uhakika za mikichezo.
Tufuatilie katika mitandao yetu ya kijamii kama sokaleotz.
Bonyeza hapa chini kudownload app ya SOKA LEO ILIYOBORESHWA
>DOWNLOAD SOKA LEO APP HERE<
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE