Home KIMATAIFA SAKATA LA RONALD KUTUPA SIMU YA SHABIKI, FA YAZIDI KUKAZA KAMBA

SAKATA LA RONALD KUTUPA SIMU YA SHABIKI, FA YAZIDI KUKAZA KAMBA

0

Nyota wa Manchester United Cristiano Ronaldo ameshtakiwa na FA kuhusiana na video iliyomuonyesha akisukuma simu toka mikononi mwa shabiki mwezi Aprili mwaka huu.

Video hiyo iliambatana na ujumbe kuwa nyota huyo aliisukuma simu hiyo vibaya baada ya mechi kati ya Manchester United na Everton iliyoishia kwa timu yao kufungwa 1-0.

FA imesema kuwa kitendo alichokifanya Ronaldo baada ya filimbi ya mwisho wa mechi kilikuwa hakifai na cha vurugu.

Ronaldo (37) aliomba msamaha, na mwezi Agosti alionywa na polisi kuhusiana na tukio hilo.

Klabu ya Manchester United imesema kuwa itampa sapoti mkongwe huyo katika kujibu mashtaka.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here