Home KIMATAIFA AUBA KUIBUKIA PSG

AUBA KUIBUKIA PSG

0

PSG wanatajwa kuwa kwenye hesabu za kuiwinda saini ya mshambuliaji wa Chelsea, Pierre Emerick Aubameyang.

Ripoti kutoka Ufaransa zimeeleza habari hiyo kuhusu dili la staa huyo wa Chelsea.

Auba alijiunga na Chelsea akitokea Barcelona kwa dili la pauni milioni 10 na amefunga mabao mawili kwenye mechi nne.

Inaelezwa kuwa Auba yupo tayari kurejea Ufaransa kucheza kwa kuwa ni sehemu ambayo alizaliwa.

Kocha wa PSG, Chrisophe Galtier aliwahi kufanya kazi na Auba akiwa katika Klabu Saint-Etienne akiwa chini ya kocha huyo alicheza mechi 97 akifunga mabao 41 na pasi 26.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here