Home KIMATAIFA CHELSEA YAICHAPA CRYSTAL PALACE USIKU

CHELSEA YAICHAPA CRYSTAL PALACE USIKU

0

USIKU kabisa Chelsea wakiwa ugenini wamepeleka maumivu kwa Crystal Palace kupitia kwa Conor Gallagger dakika ya 90.

Bao hilo lilifanya ubao wa Uwanja wa Selhurst Park kusoma, Crystal Palace 1-2 Chelsea.

Bao la mapema kwa Crystal Palace lilijazwa kimiani na Odsonne Edouard dakika ya 9 liliwekwa usawa na Pierre Emerick Aubameyang dakika ya 38.

Chelsea inafikisha pointi 13 nafasi ya tano na Crystal nafasi ya 17 na pointi ni 6 kibindoni.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here