Home TETESI ZA USAJILI DIRISHA DOGO ….SIMBA KUBEBA VIFAA HIVI KUTOKA ANGOLA

DIRISHA DOGO ….SIMBA KUBEBA VIFAA HIVI KUTOKA ANGOLA

0

Simba ilipata ushindi wa mabao 3-1 ugenini mjini Luanda, Angola lakini kabla ya kurejea nyumbani benchi la ufundi chini ya Mgunda, liliondoka na majina matatu ya nyota wa Agosto, ili kuyafanyia kazi kabla ya kurudiana nao wikiendi hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Mgunda aliondoka na majina ya John Mano, Dago Tshibamba kiungo mshambuliaji aliyefunga bao la kufutia machozi kwa penalti na Vidinho ambao walikuwa mwiba kwenye mchezo huo wa ugenini huku akipania kishindo cha aina yake kuipeleka Simba hatua ya makundi.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here