Nyota wa Kimataifa wa NIGER ambaye anacheza RS Berkane Akitokea US Gendermarie Victorien Adebayor anaripotiwa kukosa Amani na Furaha ndani ya Kikosi cha Mabingwa wa Kombe la Shirikisho RS Berkane.
.
Mwenyekiti wa Simba Salim Abdallah ‘Try Again’ aliwahi kunakiriwa akisema “Adebayor ni Mchezaji mzuri na anafaa kucheza Simba”.
.
Yes, Simba walimkosa Adebayor wakati wa Dirisha kubwa la Usajili kwa kigezo cha Ofa kubwa iliyowekwa na Berkane.
.
Sasa Kijana ambaye binafsi yake alikiri kuwa anataka kucheza Simba, hana Furaha akiwa Morocco 🇲🇦
.
Bila shaka ni wakati sahihi kwa Wanasimba kuomba Dua mwamba huyu Aje kikosini kwenu, mtalamba Dume.
.