Klabu ya Simba kesho Jumamosi alfajiri kitaondoka kuwafuata wapinzani wao De Agosto kutoka Angola hii ni katika mchezo wa Kimafaifa CAF.
Simba imetambulisha jeshi la wachezaji 24 ambao watasafiri kesho Jumamosi ili kwenda kukipiga katika mchezo unaofuata wa kimataifa.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE