Home KITAIFA HIZI HAPA KUCHEZEKA LEO LIGI KUU BARA

HIZI HAPA KUCHEZEKA LEO LIGI KUU BARA

0

OKTOBA 4, Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea ambapo mechi mbili zinatarajiwa kuchezwa.

Polisi Tanzania ina pointi mbili wao watamenyana na Geita Gold wenye pointi tatu, Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Ihefu wao hawana pointi wao watamenyana na Geita Gold yenye pointi tatu, Uwanja wa Highland Estate.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here