Home KIMATAIFA HOTELI YA CR7 NI BORA AFRIKA

HOTELI YA CR7 NI BORA AFRIKA

0

Hoteli ya Nyota wa Manchester United na Timu ya Taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo,(37) ya Pestana CR7 iliyoko Kitongoji cha Marrakech nchini Morocco imetajwa kuwa Hoteli Mpya Bora Afrika katika Tuzo za Dunia za World Travel Awards 2022.

Pestana CR7 Marrakech ipo Hivernage Kitongoji cha Marrakech ambapo bei ya vyumba katika Hotel hiyo imechangamka kweli kweli. Kuna vyamba ambavyo bei yake kwa siku ni laki 6,7 hadi 8 kwa fedha za Kitanzania.

Katika taarifa za vyanzo mbalimbali zinaonyesha kuwa kwa mwezi Oktoba mwaka huu Cristiano Ronaldo ana utajiri unaokadiriwa kuwa na thamani ya Dola milioni 450 hadi 500 za Kimarekani.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here