Bamlak Tessema Weyesa mwenye umri wa miaka 41 Raia wa Ethiopia ndie atakuwa msimamizi wa sheria Kumi na saba za mchezo wa Mpira wa miguu kwenye mchezo wa marejeano katika michuano ya CAF Champions League kati ya klabu ya Al Hillal ya nchini Sudan dhidi ya Yanga Sc ya Tanzania
Mchezo utakaopigwa El Hilal Stadium siku ya Jumapili
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE