Simba leo Jumapili itashuka dimbani na De Agosto katika uwanja wa Benjamin Mkapa ambapo ni mchezo wa marudiano wa ligi la mabingwa Afrika na hiki ni kikosi cha Simba Vs De Agosto siku ya leo.

Mpaka sasa Tiketi za VIP C na Mzunguko zote zimeisha.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE