Wanakwenda Kwenye Kariakoo Derby Nyingine wikiendi hii.
Tayari Manula amecheza mechi 5 ndani ya dakika 450 huku Diarra akicheza mechi 4 ndani ya dakika 360.
Kwenye Mechi hizo Manula amefungwa magoli Mawili pekee Huku Diarra akifungwa magoli manne.
Manula ameondoka na Cleensheets Nne kwenye mechi 5 ikiwa Diarra ameondoka na Cleensheet 1 Pekee.
Kwa mara nyingine wanakwenda kupambania timu zao Wikiendi hii.
Manula amekuwa Mbabe wa Namba dhidi ya Diarra hapa.
Diarra ni kama ameanza Vibaya Msimu huu.
Nani kuondoka na Cleensheet kati yao?
Je upo Upande gani Wikiendi hii?
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE