Home KIMATAIFA MASHABIKI SUDAN WAIPANIA KINOMA YANGA….WANUNUA TIKETI KWA ‘UGWADU’

MASHABIKI SUDAN WAIPANIA KINOMA YANGA….WANUNUA TIKETI KWA ‘UGWADU’

0

Mashabiki wa soka Sudan wameendelea kununua tiketi kwa wingi jana Oktoba 14, kwa ajili ya kuishuhudia Al Hilal ikicheza dhidi ya Yanga Jumapili Oktoba 16 katika uwanja wa Al Hilal Omdurman.

Mchezo huo wa Al Hilal dhidi ya Yanga ni wa mkondo wa pili kuwania kufuzu kwa hatua ya makundi Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya wikiendi iliyopita katika Uwanja wa Mkapa kutoka sare ya goli 1-1 mchezo wa mkondo wa kwanza.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here