Klabu ya Kagera Sugar imetangaza kuingia mkataba na kocha Mecky Maxime kurithi mikoba ya kocha Francis Baraza ambaye waliachana nae hivi karibuni.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kagera Sugar ni kwamba Maxime atahudumu hapo kama kocha mkuu hadi mwisho wa msimu huu wa 2022/2023 wa NBC Premier League.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE