Home KITAIFA NABI: SISI HATUONGEI SANA NI KUTAFUTA MATOKEO

NABI: SISI HATUONGEI SANA NI KUTAFUTA MATOKEO

0

kwenye mchezo wa raundi ya Pili Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kocha huyo amebainisha kuwa maandalizi ambayo wameyafanya yanawapa imani ya kupata matokeo kwenye mchezo wao.

“Sisi hatuongei sana tunakwenda kufanya kazi suala la kuongea tumewaachia mashabiki kwa sababu tunajua wanachokitaka siyo maneno ni matokeo mazuri na tumejiandaa kufanya vizuri.

“Mashabiki wajitokeze kwa wingi kwa ajili ya kuisapoti timu yao uzuri ni kwamba kila mchezaji anatambua namna ilivyo na ushindani utakuwa mkubwa,” amesema.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here