MECHI za Ligi Kuu Bara leo Oktoba 3,2022 ikiwa ni msimu wa 2022/23
Coastal Union ya Tanga itamenyana na Kagera Sugar saa 10:00 jioni.
Ruvu Shooting v Yanga, saa 12:15 jioni
Azam FC v Singida Big Stars, saa 2:15 usiku.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE