Timu ya soka ya Simba kwa wanawake leo Oktoba 30, 2022 itamenyana na ASFAR Club ya Morocco katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake (CAFWCL).
Mchezo huo wa hatua ya makundi utapigwa katika dimba la Prince Moulay Al Hassan, Morocco majira ya saa 4:00 usiku.
Simba SC ipo kundi A sambamba na ASFAR Club ya Morocco, Green Buffalo ya Zambia na Determine Girls ya Liberia.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE