• About Us
  • Blog No.1 Kwa Habari za Michezo na Burudani
  • Contact Us
  • Privacy Policy
Saturday, December 9, 2023
SOKALEO
  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI LEO
  • TETESI ZA USAJILI
No Result
View All Result
SOKALEO
  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI LEO
  • TETESI ZA USAJILI
No Result
View All Result
SOKALEO
No Result
View All Result

TANZANIA YAZIDI KUWASHANGAZA WAZUNGU KOMBE LA DUNIA

Chikao by Chikao
October 5, 2022
in KITAIFA
0 0
Share on FacebookShare on WhatsappShare on Telegram

Ushindi wa Argentina wa mabao 3-2 dhidi ya England jana jioni umeipa timu ya Taifa ya Walemavu ya Tanzania ‘Tembo Warriors’ nafasi ya kucheza hatua ya 16 bora ya Fainali za Kombe la Dunia nchini Uturuki.


Awali asubuhi Tembo waliifunga Uzbekistan mabao 2-0 na kulazimika kusubiri matokeo hayo ya jioni kujua hatma yao. Hiyo Tembo watacheza na Japan kesho Jumatano.

Kocha Msaidizi wa Tembo Warriors, Ivo Mapunda amesema waliwasoma wapinzani wao namna ya kuwakabili ndio maana walishinda mechi yao.

Akizungumza Ivo alisema; “Tulijifunza kutokana na makosa kwani kama benchi la ufundi ilitupasa kukaa chini na kujua tunaukabili vipi mchezo unaofuata, kwenye uwanja wa mazoezi hatukubadilisha mbinu zetu, kikubwa kilichotusaidia ni namna tulivyowaanda kisaikolojia wachezaji wetu”

“Usiku tulikuwa na kikao kizito kilichoongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dk. Hassan Abbas ambapo tuliwatia moyo wachezaji wetu na kuwaaminisha kuwa wanaweza jambo ambalo limeleta matokeo chanya na kuibuka na ushindi,” alisema Ivo. Nahodha, Juma Kidevu alisema; “Kuna wakati ilitupasa kuongeza nguvu ya kupambana bila kuchoka kutokana na uwepo wa mashabiki nje ya uwanja waliokuwa wakitusapoti kwa kushangilia mwanzo mwisho hivyo hakukuwa na sababu ya kuwaangusha na kuwavunja moyo”

“Uzalendo na kujituma ndizo sababu za kupata ushindi kwenye mchezo uliopita kwani timu pinzani waliokuwa bora na wazoezi kwa kiasi chake lakini sisi hatukuangalia hilo bali kujituma na kuongeza bidiii kila hatua ya dakika.”

Mabao ya Tembo Warriors yalifungwa na Steven Manumbu dakika ya 13, baada ya kupokea pasi kutoka kwa Alfan Kiyanga ambaye kipindi cha pili dakika ya 38 alipiga shuti kali lililokwenda moja kwa moja ndani ya wavu licha ya kipa wa Uzbekistan kufanya jitihada za kutaka kuokoa mpira huo.

Tags: Blog za MichezoHabari za Michezo
ShareSendShare
Previous Post

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA BAADA YA MECHI ZA JANA

Next Post

KOCHA MPYA SIMBA QUEENS ATAJA KILICHOMLETA BONGO

Related Posts

ihefu
KITAIFA

MASHUJAA MAMBO SIO MAMBO, HUKU IHEFU NAO WAFUFUKA KIMASIHARA

December 8, 2023
Ahmed Ally
KITAIFA

AHMED ALLY: NGOMA IKIWA NGUMU TUPATE ALAMA MOJA TU

December 8, 2023
lomalisa
KITAIFA

MAJEMBE YATAKAYOCHUKUA NAFASI YA MWAMBA LOMALISA

December 8, 2023
Simba chama
KITAIFA

MTEGO WA CHAMA DHIDI YA WYDAD UMEKAA HIVI

December 7, 2023
Load More

Leave a Reply Cancel reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Search Here

No Result
View All Result
ihefu

MASHUJAA MAMBO SIO MAMBO, HUKU IHEFU NAO WAFUFUKA KIMASIHARA

December 8, 2023
Ahmed Ally

AHMED ALLY: NGOMA IKIWA NGUMU TUPATE ALAMA MOJA TU

December 8, 2023
Pogba

POGBA KUKABILIANA NA KIFUNGO CHA MIAKA 4

December 8, 2023
lomalisa

MAJEMBE YATAKAYOCHUKUA NAFASI YA MWAMBA LOMALISA

December 8, 2023
Anza siku yako kimichezo kwakupitia ukurasa wa mbele wa gazeti la Mwanaspoti leo tarehe 8 December 2023, Pitia vichwa vya habari na ujipatie nakala yako leo.

TUNAANZIA HAPA!, GAMONDI MZUKA,MATAJIRI WASHTUA – MWANASPOTI LEO

December 8, 2023
Simba chama

MTEGO WA CHAMA DHIDI YA WYDAD UMEKAA HIVI

December 7, 2023

Msimamo wa Ligi Kuu

SOKALEO

© 2023 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

  • Home
  • Privacy Policy
  • Contact Us
  • About Us

No Result
View All Result
  • HOME
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • MAGAZETI LEO
  • TETESI ZA USAJILI

© 2023 SOKALEO TANZANIA | All Rights Are Reserved

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In