Home KIMATAIFA TETESI 5 ZA SOKA ULAYA JIONI HII (16.10.2022)

TETESI 5 ZA SOKA ULAYA JIONI HII (16.10.2022)

0

Manchester City hawana tatizo la fedha iwapo wataamua kumnunua Kylian Mbappe kutoka PSG (The Sun) 

Kocha wa Newcastle United ametupilia mbali uwezekano wa klabu hiyo kumsajili Cristiano Ronaldo katika dirisha lijalo la usajili (TheSun)

Kocha wa Atelico Madrid Diego Simeone pia haoni kama Cristiano Ronaldo anaweza kutua Hispan

Wakati huo huo mshambuliaji Joao Felix, huenda akatimka mwishoni mwa msiumu kufuatia kukaa benchi Atletico Madrid. Kocha wake Semione analifahamu hilo (Caughtoffside)

Frenkie de Jong ameiambia ZiggoSport: “Ofa za Chelsea na Man Utd? Nilitulia. Niliamua tangu mwezi Mei kwamba nitasalia Basrca. Nilitaka kubaki Barça, hivyo haikunisumbua”.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here