Chelsea wanamsaka kiungo wa kati wa Villarreal Muhispania Yeremy Pino, 19, kama mpango wa dharura huku kiungo wa kati Englan Mason Mount, 23, akielekea katika miezi yake ya mwisho ya mkataba wake wa miezi 20. Kiungo wa kati wa Roma Muitalia Lorenzo Pellegrini, 27,ni chaguo lingine la the Blues. (Telegraph)
Inter Milan wako tayari kuanza dao la kujaribu kumchukua kiungo wa safu ya kati- nyuma Uholanzi Ake, 27, mbali na Manchester City. (Ekrem Konur on Twitter)

Arsenal wameionyesha nia katika kusaini mkataba na mshambuliaji wa Club Bruges Muhispania Ferran Jutgla, 23. (Totofichajes – in Spanish)
Wolves huenda wakasubiri zaidi kumfanya Julen Lopetegui meneja wao kwani meneja huyo Muhispania anashughulikia suala la kifamilia. (Daily Mail)

Chelsea wako tayari kwa mazungumzo kuhusu hali ya Denis Zakaria katika klabu, huku Mswidi huyo mwenye umri wa miaka 25 anayecheza katika safu ya kati akishindwa kucheza mechi chini ya meneja mpya Graham Potter. (Fabrizio Romano)
AC Milan wanaangalia uwezekano wa kumuondoa kikosini winga wa Chelsea na Morocco Hakim Ziyech, mwenye umri wa miaka 29, mwezi

Liverpool inaweza kusaini mkataba na mshambuliaji wa Rennes na Ubelgiji Jeremy Doku, 21, mwezi Januari. (Calciomercato – in Italian)
Meneja wa Liverpool wenye majera haTrent Alexander-Arnold, mwenye umri wa miaka 24, na Luis Diaz, mwenye umri wa miaka 25. (Daily Mirror)
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE