KESHO Simba itashuka dimbani katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji ambapo kwa mujibu wa kocha msaidizi wa Simba Seleman Matola amewataja mastaa hao huku akisema kuwa Japo kuwa watakosekana mastaa hao lakini Simba kesho itashuka dimbani kupambana.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE