Waamuzi wa Tanzania Elly Sasii, Frank Komba, Mohamed Mkono na Ramadhani Kayoko wameteuliwa na CAF kuchezesha mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika kati ya St. Michel (Shelisheli) na Motema Pembe (DR Congo) utakaochezwa leo Jumamosi nchini Ivory Cost
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE