Nyota wa Tanzania Adam Salamba amesajiliwa na klabu ya Ghazl El Mahalla ya Misri kwa mkataba wa miaka miwili.
Salamba anajiunga na Ghazl El Mahalla akitokea JS Soura inayoshiriki Ligi Kuu ya Algeria.
Salamba amepita vilabu vya Lipuli FC, Simba SC, Al- Jahra na Namungo FC.
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE