Home KIMATAIFA WAKUBWA NA WAONYESHE UKUBWA KIMATAIFA

WAKUBWA NA WAONYESHE UKUBWA KIMATAIFA

0

uwanjani itawapa matokeo mazuri.

Watanzania wanasubiri kuona kila timu inafanya vizuri kwenye mechi zote za kimataifa na inawezekana ikiwa kila haya mambo mapya yanayofanyika kwenye sera yakawa kwenye vitendo.

Wapo wachezaji wapya ambao wamesajiliwa na timu zao nao pia wanaanza kuishi kwenye mazingira mapya ni lazima kukubali kwamba ugeni wao isiwe sababu ya kushindwa kufanya vizuri.

Kila kitu kinawezekana na muda ni sasa kukamilisha yale mambo yote yaliyopangwa kwa vitendo na kimataifa kazi ikafanyike kwelikweli nyumbani ama ugenini.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here