Home KITAIFA YANGA KUTUSUA KIMATAIFA MIPANGO YAANZA KUSUKWA

YANGA KUTUSUA KIMATAIFA MIPANGO YAANZA KUSUKWA

0

MPANGO unaanza kusukwa upya kwa ajili ya Yanga kuikabili Al Hilal ugenini mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa, Nasreddine Nabi amesisitiza umakini kwa wachezaji wake kwenye kutumia mapigo huru ikiwa ni kwa kiungo Bernard Morrison na Aziz KI

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here