Home KIMATAIFA BECKHAM ATAJWA KUINUNUA MAN UNITED

BECKHAM ATAJWA KUINUNUA MAN UNITED

0

NYOTA wa zamani wa Manchester United, David Bekham anatajwa kuwa kwenye mpango wa kuinunua klabu.

Staa huyo anatajwa kuwa kwenye mchakato wa kuwa kwenye muunganiko na wawekezaji wengine ili kuongeza nguvu na nafasi ya kushinda dili hilo baada ya familia ya Glazers kutangaza kuiweka sokoni.

The Glazers waliinunua Man United kwa pauni milioni 790 ilikuwa mwaka 2005 wameiweka sokoni kwa sasa timu hiyo.

Ilikuwa ni Jumanne ya wiki hii ampabo gazeti la Mirror Football limeripoti kuwa wamepanga kuiuza kwa pauni bilioni 8.

Kwenye mahojiano na Sky Sports mwezi Mei, Beckham alisema:”Kuna mabadiliko ya kufanywa hakuna timu nyingi ambazo yale ambayo wamepitia katika miaka michache iliyopita,”.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here