Home KITAIFA BREAKING: KOCHA SIMBA AKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

BREAKING: KOCHA SIMBA AKUTWA NA MADAWA YA KULEVYA

0

Kocha wa Makipa wa Klabu ya Simba, Muharami Said Sultan amekamatwa na madawa ya kulevya aina ya Heroine.

Hii ni kwa mujibu wa taarifa kutoka Jeshi la Polisi Tanzania.

Taarifa hizo zimetolewa na Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya, Gerald Kusaya wakati akizungumza na waandishi wa habari.

Kusaya amesema kuwa Mwarami mwenye miaka 41 ni kocha kwenye timu maarufu ambayo ni Simba na aliwahi kucheza kwenye timu ya Simba zamani.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here