Home KITAIFA KANOUTE NDANI YA KIKOSI CHA SIMBA

KANOUTE NDANI YA KIKOSI CHA SIMBA

0

SADIO Kanoute ni miongoni mwa mastaa wa Simba ambao wapo na kikosi Moshi kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Polisi Tanzania.

Nyota huyu alikosekana kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Mbeya City kwa kuwa hakuwa fiti.

Kwenye mchezo huo Simba ililazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na kugawana pointi mojamoja ugenini.

Kesho Novemba 27, Simba ina kibarua cha kusaka ushindi kwa mara nyingine ugenini dhidi ya Polisi Tanzania.

Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ushirika Mosi unatajwa kuwa mgumu kwa Simba ambao hawajawa imara kwenye mechi za ugenini.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here