Kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi amechaguliwa kuwa kocha bora wa mwezi Oktoba wa Ligi kuu ya NBC Tanzania bara.
Nabi raia wa Tunisia amewashinda Mubiru Abdallah wa Mbeya City na Thiery Hitimana wa KMC alioingia nao fainali.
Yanga SC kwa mwezi Oktoba:-
2-1 vs Ruvu Shooting (A)
1-0 vs KMC (H)
1-0 vs Geita Gold (A)
1-1 vs Simba SC (H)
HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE