Home KITAIFA UONGOZI WA SIMBA WAMKANA SHILTON

UONGOZI WA SIMBA WAMKANA SHILTON

0

Kutokana na taarifa za Kocha wa viungo Muharami Sultan kukamatwa na madawa ya kulevya, uongozi wa Simba SC imetoa taarifa kwa umma kuwa Muharami Sultan maarufu kama Shilton, hakuwa kocha wa Simba.

Simba imesema ya kwamba Shilton alikuwa hana mkataba na timu hiyo bali aliombwa kufundisha makipa wa timu hiyo kwa muda wa mwezi mmoja.

 

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here