Home KITAIFA USHINDI WA YANGA, NCHI NZIMA INASHEREKEA, MO DEWJI ASHINDWA KUJIZUIA

USHINDI WA YANGA, NCHI NZIMA INASHEREKEA, MO DEWJI ASHINDWA KUJIZUIA

0

Rais wa heshima wa Klabu ya Simba SC, Mohammed Dewji “Mo dewji” ameipongeza Klabu ya Yanga kufuatia kufuzu hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho barani Afrika.

Yanga imefuzu hatua ya Makundi baada ya kuichapa Club Africain kutoka Tunisia kwa bao 1-0 lililopachikwa na Aziz Ki kipindi cha pili.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Mo ameandika;

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here