Home KIMATAIFA BRIGHTON YACHAPWA UGENINI

BRIGHTON YACHAPWA UGENINI

0

WAKIWA ugenini wameshuhudia ubao ukisoma Nottm Forest 3-1 Brighton kwenye mchezo wa Ligi Kuu England.

Ilikuwa dakika ya 45 alijifunga Pascal Grob, Danilo dakika ya 69 na Morgan Gibbs-White dakika ya 90.

Ni Facundo Buonanotte dakika ya 38 alipachika bao ndani ya City Ground.

Nottm Forest imecheza mechi 33 ikiwa na pointi 30 huku Brighton ikiwa nafasi ya 8 pointi 49.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here