Home Uncategorized BAADA YA KUTINGA FAINAL CAF…YANGA WAKATAA ‘VIBE’ LA MASHABIKI DAR….ISHU IKO HIVI

BAADA YA KUTINGA FAINAL CAF…YANGA WAKATAA ‘VIBE’ LA MASHABIKI DAR….ISHU IKO HIVI

0

Wakati Kikosi cha Yanga kikiandika Historia ya kutinga Fainali ya Kombe la Shirikisho kwa mara ya kwanza katika historia yake.

Wakati Yanga wakitengeneza Historia hiyo, wapo katika ardhi ya ugenini Afrika ya Kusini wakiichapa Marumo Gallants mabao 2-1 na kushinda ushindi wa jumla 4-1.

Kutokana na rekodi hiyo bila shaka Mashabiki wa Yanga wanaisubiri kwa hamu Timu yao kwa ushujaa huo lakini hali ni tofauti kwa uongozi wa Yanga.

Kupitia Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, ameandika ujumbe akiwaasa Mwapenzi na Mashabiki kutijitokeza kuipokea Timu hiyo.

Ali kamwe ameandika;

“Najua Furaha ni kubwa sana, Lakini Uongozi wa Yanga unawaomba mashabiki wetu kuendelea kuiombea Dua na kuisapoti Timu yetu kwenye mechi muhimu zinazofata

1: Nusu Fainali ya ASFC 2: Fainali ya CAF

Hivyo tunaomba kusiwe na Mapokezi yoyote AIRPORT kwa sasa..”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here