Home KIMATAIFA BARCELONA MABINGWA LALIGA

BARCELONA MABINGWA LALIGA

0

Kwa mara ya kwanza Barcelona wanatwaa ubingwa wa LaLiga bila Lionel Messi.

Xavi Hernandez ni msimu wake wa kwanza kamili dhidi ya Barca na kuchukua taji, msimu uliopita alianzia katikati ya msimu.

Ushindi wa goli 4-2 dhidi ya Espanyol unaipa ubingwa Barca wakati huo hali ni mbaya kwa Espanyol wakiwa kwenye hatari ya kushuka daraja.

Timu hizi mbili watu hupendelea kuziita Derby…. Derby ya Catalunya, Spain zikiwa zimetokea mji mmoja.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here