Home KITAIFA EVERTON YATEMBEZA MKONO HUKO

EVERTON YATEMBEZA MKONO HUKO

0

WANABAKI na pointi zao zilezile 55 baada ya kucheza mechi 33 ndani ya Ligi Kuu England ni Brighton ambao wamepokea kichapo wakiwa nyumbani.

Ubao wa Uwanja wa Falmer ulisoma Brighton 1-5 Everton iliyofikisha pointi 32 nafasi ya 17.

Maajabu ya mpira kwenye rekodi mashuti 23 walipiga Brighton na matano pekee yakilenga lango huku Everton walipiga mashuti 10 na matano yalilenga lango ndo mabao yenyewe sasa.

Abdoulaye Doucoure alitupia kambani mabao mawili dakika ya kwanza na 29, Jason Steele alijifunga dakika ya 35, Dwight McNeil alitupia kambani mabao mawili dakika ya 76 na 90.

Ni Alexis Mac Allister alitupia bao moja dakika ya 79 katika mchezo huo.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here