Home KIMATAIFA INTER YATINGA FAINALI UEFA IKIICHAPA MILAN NJE NDANI

INTER YATINGA FAINALI UEFA IKIICHAPA MILAN NJE NDANI

0

Inter imetangulia fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA) baada ya kushinda bao 1-0 leo dhidi ya AC Milan katika Uwanja wa nyumbani Meazza likifungwa na Lautaro Martinez na kufanya ushindi wa jumla kuwa mabao 3-0 ambapoawali walishinda 2-0.

Inter anasubiri mshindi wa mechi ya Manchester City vs Real Madrid Mei 17 saa 4:00 usiku ambaye watacheza fainali Istanbul nchini Uturuki Juni 10 katika uwanja wa Ataturk Olympic.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here