Home KIMATAIFA JEZI YA MICHAEL JORDAN YAUZWA KWA MABILIONI

JEZI YA MICHAEL JORDAN YAUZWA KWA MABILIONI

0

Kuna mtu mmoja ameondoka kwenye mnada na Jezi ya Michael Jordan ambapo imembidi alipe ($3 million) zaidi ya TSh. BILIONI 7.

Jezi hiyo maarufu ya timu ya Kikapu ya Marekani (The Dream Team) ambayo ilivaliwa na MJ mwaka 1992 kwenye michuano ya Olimpiki, imepigwa mnada juzi Alhamis.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here