Home KITAIFA KAPOMBE ATOA UJUMBE MZITO SIMBA

KAPOMBE ATOA UJUMBE MZITO SIMBA

0
“Mimi nimekaa Simba tangu mwaka 2011 mpaka leo hii kwangu mimi kuna namna tumepiga hatua kwenye utawala vipo vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishika lakini kikubwa ambacho ninaweza kuwaambia Simba au nachotamani Simba wakifanye siku moja nikaona Simba ina Mkurugenzi wa Ufundi (Technical Director).”
“Ninaimani tutakuwa tumepiga hatua kubwa sana katika maendeleo ya timu kwa ujumla, natamani hiyo nafasi katika Simba itokee hata leo aweze kupatikana mtu yule kikamilifu katika hiyo nafasi naimani itakuwa kitu kikubwa sana.”

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here