Home KITAIFA KUHUSU MATUSI YA KAMWE MGUNDA JANA….ALIYEMTUMA AHOJIWA…NI CEO AU ENG HERS..?

KUHUSU MATUSI YA KAMWE MGUNDA JANA….ALIYEMTUMA AHOJIWA…NI CEO AU ENG HERS..?

0

Ameandika Mchambuzi Willson Oruma;

“Nimeamka nipo najaribu ku reflesh kwenye Social media Pages za Yanga Africa Kwamba pengine nitaona Kauli za kujitenga ni hizi kauli taka Mwili za Afisa habari

Lakini so far bado Sijaoana Kitu.Lau Pengine bado ni asubuhi niwape Muda? Kama itapita hii siku nisipoona ndo nitaamini Kweli Kamwe ametumwa na Rais Eng Hersi SAID Amtukane Juma Mgunda

Ametumwa na CEO na Secretariat Amtukane Juma Mgunda

Mashabiki wa Yanga Africa wameulizwa Kati ya JUMA MGUNDA na ANDAZI wachague nini? Wamechagua ANDAZI

Juma MGUNDA ni Kocha wa team ya Taifa ya Tanzania.Hii unatuma Ujumbe gani kwa Bakari Nondo Mwamnyeto, Ibrahim Bacca, Dickson Job, Kibwana Shomari, Mudathir Yahaya,Sure Boy.Kwamba Kocha wao ni ANDAZI tu?

Comrade umefikiria Shida watakayoipta Watoto wa Mwalimu JUMA MGUNDA Shuleni? Baba Yenu ni ANDAZI tu.Huu usumbufu kwa hawa Watoto ulikuwa na Ulazima Gani?

Nimeona Umeomba Msamaha that was very Good Lakini baada ya Post ya Kuomba msamaha umepost mara 4 hivi za haraka haraka.Hii ni Dharau,hukumaanisha kwenye huu Msamaha .Maana yake Kwa mtu ambae amepita kwenye page saa moja tu Baadae ni ngumu Kuona Msamaha wako kwa Mwalimu MGUNDA

Na nafikiri Busara na heshima ingekuwa vizuri zaidi Msamaha wako ungeomba kupitia njia Ile Ile ambayo ulitumia Kumtukana na Kumdhalilisha Mwalimu MGUNDA.Uchukue Mic uombe radhi Comrade

Halafu najiuliza Kwani kuwa Afisa habari wa Yanga Africa na Wehu vina Uhusiano Gani? Manake huyu sio wewe Kabisa Comrade.Huyu ni mara 10 ya KALIKONJI

This was too low Comrade.Unahamasisha Mechi ya YANGA AFRICA dhidi ya USM ALGER.Hapa Mwalimu JUMA MGUNDA amefikaje Yani?

Mbona tayari Idara yako inafanya vitu vikubwa ambavyo Kwa Umri Wangu wa kuwa kwenye Mpira Sijawahi kuviona vikifanyika Yanga Africa.Umeigeuza Idara yako ya habari Kuwa Pesa

Sasa huku kwa LENGAI OLE NASHA unaenda Wapi Comrade?

Yes Kuna UTANI WA JADI ambao unakubalika.Lakini Hizi Taka Mwili ni Ujinga na Haikubaliki.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here