Home KIMATAIFA LIVERPOOL WASEPA NA POINTI TATU UGENINI

LIVERPOOL WASEPA NA POINTI TATU UGENINI

0

LIVERPOOL wakiwa ugenini wamesepa na pointi tatu muhimu na kuwashusha wapinzani wao Leicester City.

Baada ya dakika 90 ubao umesoma Leicester City 0-3.

Mabao ya Curtis Jones dakika ya 33 na 36 huku msumari wa tatu ukipachikwa na Trent Alexander-Arnold dakika ya 71.

Ndani ya King Power Leicester City walipiga mashuti manne yaliyolenga lango huku Liverpool wakipiga mashuti 16 na matano yalilenga.

Liverpool inafikisha pointi 65 baada ya kucheza mechi 36 na Leicester pointi 30 nafasi ya 19.

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here