Home KITAIFA MERIDIANBET YAWAFIKIA WAKAZI WA MBAGALA, NEEMA YASHUKA KWA BODABODA

MERIDIANBET YAWAFIKIA WAKAZI WA MBAGALA, NEEMA YASHUKA KWA BODABODA

0

Meridianbet kama ilivyo kawaida wamekua wakiwashika mkono watu mbalimbali ambao wamekua wana uhitaji, Leo mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefika Mbagala kuhakikisha wanagawa Reflectors kwa Bodaboda wa mtaa huo.

Safari hiyo ya kwenda kugawa Reflectors kwa Bodaboda Mbagala iliongozwa na Mkuu wa kitengo cha Mawasiliano na masoko kutoka Meridianbet bwana Matina Nkurlu akijumuika na wafanyakazi wengine na kuhakikisha zoezi hilo linakwenda kwa umakini.

Meridianbet wanaendelea kurudisha kwa jamii kila siku kwani kufanya hivyo ni kuwajali wateja wao ambao wanajua asilimia kubwa hutumia kampuni hii kufanya ubashiri kwani ndiyo kampuni mabyo inakupa kile ambacho unakitaka kama kaulimbiu yao isemavyo Meridianbet “CHAGUA TUKUPE”

Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii

Uhitaji wa reflectors katika eneo hilo ulionekan mkubwa sana kutokana na wingi wa watu na wengine kunyang’anyana zile ambazo zilikuwepo lakini bado hazikutosha. Hivyo Matina Nkurlu amewaahidi boda boda wa hapo kuwa watarudi tena eneo hilo kwaajili ya kutoa reflectors kwa wale ambao wamekosa.

Endelea kutumia Meridianbet kubashiri mechi kali wikendi hii kama vile EPL, LALIGA, SERIE A, BUNDESLIGA na zingine nyingi ambazo zinatarajiwa kupigwa leo hii lakini pia, usisahau kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni ikiwemo, Avaitor, Sloti, Poker, Roulette na mingine ambayo itakuwa rahisi kwako kupiga mkwanja.

Pia Meridianbet imeleta mchongo wa  hela kila siku. Kuna hii bonasi ya ukaribisho kwa wateja wapya wote wanapata Tsh 25,000/= ya kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni. Ingia mchezoni www.meridianbet.co.tz

Basi nakwambiaje pesa zipo hapa Meridianbet kama hujajiunga huu ndio muda sasa ingia na uweze kupata hiyo bonasi na ubashiri mechi zako kadhaa unazoamini kuwa zitakupa ushindi ndani ya Mabingwa wa ODDS KUBWA. i.

Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.

Baada ya kupokea reflector hizo bodaboda wa eneo hilo waliishukuru Meridianbet kwa kuwatembelea na kuwapelekea vifaa hivyo kwani vitawasaidia wakiwa katika safari zao za kila siku na wamewapongeza kwa kutambua umuhimu wao kwenye jamii.

Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

HABARI HIZI ZINAPATIKANA KATIKA APP YETU YA SOKALEO >>BONYEZA HAPA<<< KUIDOWNLOAD PLAYSTORE

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here